|
- GE2025 - CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge . . . - JamiiForums
Wakuu, Ile siku ambayo ilikuwa inasuburiwa kwa hamu ni leo Ngoja tuone kitachojiri ========= Wakati watu wakimsubiri Makalla, ukurasa rasmi wa CCM umepost picha hizi kwamba kikao bado kinaendelea Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wa
- GE2025 - Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia . . . - JamiiForums
CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge, maamuzi ya kamati kuu muda huu Kamati Kuu CCM yamaliza kikao saa 5 usiku, yapitia na kuchuja mapendekezo ya majina ya Wagombea Taarifa hiyo inasubiriwa kwa hamu kubwa, kwani itabainisha majina ya wagombea waliopenya katika hatua za awali za uteuzi kuelekea uchaguzi wa ndani wa chama hicho tawala Updates
- GE2025 - Watu maarufu walioachwa katika kinyanganyiro cha Ubunge CCM . . .
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza majina ya wagombea ubunge walioteuliwa kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kufuatia vikao vya juu vya chama hicho, ikiwemo Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), vilivyoketi hadi usiku wa manane Julai 28 Orodha hiyo ilisomwa na Katibu wa
- PostGE2025 - Vigogo Sita wa CCM kuwania nafasi ya uspika wa Bunge la . . .
Baada ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kufungua rasmi mchakato wa kuchukua fomu za kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, vigogo sita wa chama hicho wamejitokeza leo kuchukua fomu, wakionesha nia ya kuliongoza bunge hilo katika muhula ujao 1 Tulia Ackson Alikuwa Spika
- Wabunge wa CCM walioanguka kura za wajumbe - JamiiForums
Katika kile kinachoonekana kama mabadiliko ya upepo wa kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wabunge kadhaa waliokuwa wakitetea nafasi zao wamejikuta wakitemwa na wajumbe wa chama hicho katika kura za maoni zilizofanyika Agosti 4, 2025, katika maeneo mbalimbali ya Tanzania Ingawa
- Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025 - JamiiForums
8 CCM inatambua kwamba utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo utafikia kikomo chake katika kipindi cha utekelezaji wa Ilani hii Hivyo Chama kitazisimamia serikali zake kuandaa Dira mpya ya Taifa ya Maendeleo kuelekea mwaka 2050, na kuanza utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Zanzibar ya mwaka 2020 – 2050
- ccm - JamiiForums
ccm Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar
- GE2025 - Wabunge wa sasa waliokatwa kugombea CCM hawa hapa
Hawa ni wabunge wa sasa ambao CCM imewapumzisha 1 Mrisho Gambo - Arusha Mjini 2 Stephen Byabato - Bukoba Mjini 3 Luhanga Mpina - Kisesa 4 Ndaisaba Ruhoro - Ngara 5 Josephat Gwajima - Kawe (Hakuchukua fomu) 6 January Makamba - Bumbuli 7 Nicodemus Maganga - Mbogwe 8 Christopher Ole
|
|
|